Kioromo-Kusini (pia Kiborana) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia na Kenya inayozungumzwa na Waoromo na Waborana.
Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kioroma-Kusini nchini Ethiopia imehesabiwa kuwa watu 3,630,000. Pia kuna wasemaji 277,800 nchini Kenya (2009) na wasemaji 41,600 nchini Somalia (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kioromo-Kusini iko katika kundi la Kikushi.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kioromo-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kioromo-Kusini, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.