15°47′N 32°43′E / 15.783°N 32.717°E / 15.783; 32.717
Khartoum (pia Al Khartum) (Kar. الخرطوم ) ni moja ya majimbo (wilayat) 25 ya Sudan. Lina ukubwa wa eneo la 22,122 km 2 na wakazi wanaokadiriwa kuwa 4,700,000 (2000). Mji mkuu wa jimbo ni mji mkuu wa kitaifa.
Makala hii kuhusu maeneo ya Sudan bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Khartoum (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Khartoum (jimbo), which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.