Kesi Za Nuremberg

Kesi za Nuremburg zilikuwa mfululizo wa kesi za kijeshi ambazo zilifahamika sana kwa kuwahukumu wanachama wakuu wa kuongoza Ujerumani ya Kinaksi kisiasa, kijeshi, na kiuchumi baada ya Ujerumani kushindwa katikia Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.

Kesi Za Nuremberg
Kesi za Nuremburg. Wahalifu kizimbani. Mhalifu mkuu aliyelengwa hapa alikuwa ni Hermann Göring (upande wa kushoto katika mstari wa viti wa kwanza), anayedhaniwa kuwa afisa muhimu zaidi aliye hai wa Jamhuri ya tatu baada ya kifo cha Adolf Hitler.

Kesi hizo zilifanywa katika mji wa Nuremburg, Ujerumani, kuanzia mwaka wa 1945 hadi mwaka wa 1946, katika Kasri la Haki. Kesi ya kwanza kati ya hizi na inayofahamika sana ilikuwa ni Kesi ya Wahalifu Wakuu wa Vita mbele ya mahakama ya kimataifa ya kijeshi ambapo viongozi 22 Muhimu waliokamatwa katika Ujerumani ya kinaksi walihukumiwa.

Kesi za Nuremburg zilifanywa kati ya tarehe 21 Novemba, mwaka wa 1945 na tarehe 1 Oktoba mwaka wa 1946, seti ya pili ya kesi iliyokuwa ya wahalifu wenye mashtaka madogo ilifanywa chini ya Sheria ya Baraza la Udhibiti, nambari 10, mbele ya Mahakama ya Kijeshi ya Nuremburg nchini Marekani; miongoni mwa kesi hizo ni Kesi za madaktari na Kesi za Mahakimu.

Kesi Za Nuremberg Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kesi za Nuremberg kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

UjerumaniVita Vikuu vya Pili vya Dunia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MnururishoWikipediaVirusiJihadiWasafwaBurundiNyanda za Juu za Kusini TanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiChris Brown (mwimbaji)Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaKiumbehaiVieleziMasharikiNelson MandelaMamlaka ya Mapato ya TanzaniaKunguniMeliUzazi wa mpango kwa njia asiliaMahakamaDawa za mfadhaikoHijabuMapafuMkoa wa NjombeJohn MagufuliLigi ya Mabingwa AfrikaMsalaba wa YesuKisaweKiwakilishi nafsiVielezi vya idadiBibliaSeli nyeupe za damuHoma ya iniUzazi wa mpangoVielezi vya namnaAina ya damuKupatwa kwa MweziKihusishiTashdidiJamhuri ya Watu wa ChinaUmoja wa AfrikaDNANyaniWashambaaMsamiatiUkatiliSikukuuMsitu wa Amazon27 MachiMashariki ya KatiKifo cha YesuKilwa KivinjeEkaristiMsukuleShambaAlama ya barabaraniHifadhi ya SerengetiSumakuRihannaZiwa ViktoriaAsili ya KiswahiliDizasta VinaMmeaShikamooAbedi Amani KarumeAbrahamuDiamond PlatnumzUtamaduniSheriaKamusi za KiswahiliBarabaraMafuta ya wakatekumeniUhuru wa TanganyikaMkanda wa jeshi🡆 More