Kaizari Macrinus

Marcus Opellius Macrinus (takriban 165 – Juni 218) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 11 Aprili, 217 hadi tarehe 8 Juni, 218.

Alimfuata Caracalla. Kabla Macrinus hajafa, mpwa wa Caracalla, Elagabalus alitangazwa kuwa Kaizari tarehe 18 Mei. Alimshinda Macrinus katika pigano la vita tarehe 8 Juni, na Macrinus aliuawa kisheria baadaye kidogo.

Kaizari Macrinus
Shaba inayoonyesha Kaizari Macrinus

Tazama pia

Kaizari Macrinus  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Macrinus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

11 Aprili16518 Mei2172188 JuniCaracallaDola la RomaElagabalusKaizari

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vitenzi vishirikishi vikamilifuOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKilimoMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMwanzoRadiUhakiki wa fasihi simuliziDiniNikki wa PiliChristina ShushoMkoa wa ArushaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaMadiniWabunge wa Tanzania 2020Historia ya KanisaKitenziPunda miliaBikiraInsha ya wasifuUandishi wa ripotiWakingaMnururishoMichezoInsha za hojaUandishiOrodha ya mito nchini TanzaniaAlomofuAfrika KusiniNg'ombeWingu (mtandao)WikipediaNyegeUtumbo mwembambaMatumizi ya LughaKiumbehaiViwakilishi vya kuoneshaRohoVivumishiHistoria ya KiswahiliKichochoTarbiaJokofuEthiopiaMkoa wa MorogoroTungo kiraiSoko la watumwaJuxPapaSerikaliVielezi vya namnaAunt EzekielSkeliMoses KulolaMofimuBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiAina za manenoOrodha ya viongoziMkoa wa KigomaViwakilishi vya kumilikiFani (fasihi)WanyamaporiJohn MagufuliNathariTanganyika (maana)Orodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMaghaniWangoniLiverpoolMkopo (fedha)Uenezi wa KiswahiliKumaHekalu la YerusalemuUkristo barani Afrika🡆 More