Johanna Brenner

Johanna Brenner ni mwanaharakati na mwanasosholojia wa nchini Marekani ambaye uandishi na mawazo yake yako katika ufeministi wa kijamaa.

Mhitimu wa chuo cha Reed (BA, 1964) na Chuo kikuu cha California, Los Angeles (MA, 1970; Ph.D., 1979), alitumia miaka minne kama fundi wa usakinishaji wa simu katika miaka ya 1970. Mnamo mwaka 1981 alianza kufundisha katika idara ya sosholojia katika Chuo kikuu cha jimbo la Portland huko Oregon, ambapo alifanya kazi kuanzia 1982 hadi 2005 kama mratibu wa programu yake women's studies. Sasa ni profesa mstaafu.

Marejeo

Johanna Brenner  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johanna Brenner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

MarekaniMwanaharakati

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MamaMuda sanifu wa duniaMizimuHadhiraViwakilishi vya urejeshiMbooMsokoto wa watoto wachangaMzeituniNilePentekosteOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoPapa (samaki)Kishazi tegemeziFasihi simuliziUjerumaniLatitudoAbrahamuNuktambiliMkunduNyegeEl NinyoMsamiatiFani (fasihi)Paul MakondaKipindupinduNgono zembeKanda Bongo ManDini asilia za KiafrikaWilaya ya UbungoMahakama ya TanzaniaBawasiriUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiNandyHistoria ya TanzaniaPunyetoBongo FlavaMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiMalariaUlumbiBenjamin MkapaRitifaaUandishi wa inshaJokate MwegeloUjimaBenderaTanganyika (ziwa)Orodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaOrodha ya milima ya TanzaniaNgamiaMsituMtaalaMoscowBarua rasmiMwanza (mji)Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaMbeyaVidonda vya tumboMeno ya plastikiHistoria ya UislamuMeta PlatformsMwenge wa UhuruHistoria ya WasanguShikamooAli KibaMkoa wa ShinyangaWilayaMwamba (jiolojia)Amina ChifupaKiambishi awaliKonsonantiSentensiAlfabetiMtandao wa kompyutaSwalaWingu (mtandao)Haki za wanyamaMkoa wa SimiyuBahari ya Hindi🡆 More