Ivan Botha: Muigizaji na mwandishi wa filamu wa Afrika Kusini

Ivan Botha ni muigizaji wa Afrika Kusini, anajulikana katika uhusika wake kama Pieter van Heerden mwenye muonekano wa kiafrika.

Ivan Botha
Amezaliwa Ivan Botha
Desemba 13 1985
Afrika ya kusini
Kazi yake Muigizaji

Alionekana kwa mara ya kwanza kwenye filamu ya kutisha ya The Raven,[onesha uthibitisho]ikiongozwa na David DeCoteau.Pia Ivan Botha aliendelea kuonekana kwenye mfululizo wa filamu ya Bakgat na kwenye maonyesho mbalimbali kwenye televisheni ya Getroud met rugby.

Filamu zake

Runinga

Mwaka Jina Uhusika
7de Laan Pieter van Heerden
Getroud met Rugby Himself

Filamu

Mwaka Jina Uhusika
2007 The Raven Greg
2008 Bakgat! Wimpie Koekemoer
2009 Hond se Dinges Dolf de Lange
2009 Bakgat! 2 Wimpie Koekemoer
2011 Superhelde Albert
2011 Roepman Salmon
2013 Verraaiers Adaan de la Rey
2013 Bakgat! tot die mag 3 Wimpie Koekemoer
2014 Pad na Jou Hart Basson Jr.

2016 (Vir Altyd) Hugo

Marejeo

Viunga vya ndani

Ivan Botha: Filamu zake, Marejeo, Viunga vya ndani  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ivan Botha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Ivan Botha Filamu zakeIvan Botha MarejeoIvan Botha Viunga vya ndaniIvan BothaAfrika Kusini

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KukiABendera ya KenyaLady Jay DeeIsimuSabatoBiolojiaMkoa wa ShinyangaUbadilishaji msimboUlayaWingu (mtandao)Tungo kiraiNusuirabuMamaKilimoUkristoDhamiraAlfabetiNandyMapambano kati ya Israeli na PalestinaMapambano ya uhuru TanganyikaEthiopiaLafudhiSiafuKishazi huruMsitu wa AmazonJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoDivaiMagharibiMfumo katika sokaBaraza la mawaziri TanzaniaHifadhi ya mazingiraNomino za wingiJumuiya ya MadolaMaishaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaOrodha ya miji ya TanzaniaKumaVitenzi vishirikishi vikamilifuHistoria ya AfrikaNyangumiHistoria ya KiswahiliBabeliMapenzi ya jinsia mojaKhalifaUpinde wa mvuaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiKabilaMlima wa MezaSakramentiLugha ya taifaMkanda wa jeshiNduniNuktambiliViwakilishi vya kumilikiMeliMajira ya mvuaJamiiVielezi vya namnaOrodha ya milima ya AfrikaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiMaandishiMitume wa YesuFamiliaMartin LutherBiashara ya watumwaHistoria ya IranKiongoziUgonjwaMkwawaNetiboliEl NinyoAli Hassan MwinyiUandishi wa barua ya simuAfrikaUchaguziMlonge🡆 More