Isaac Bashevis Singer

Isaac Bashevis Singer (14 Julai 1902 – 24 Julai 1991) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Poland ambapo alizaliwa na jina Yitskhek Bashyevis Zinger .

Mwaka wa 1935 alihamia Marekani. Hasa aliandika riwaya na insha kuhusu maisha ya Wayahudi katika karne ya 20. Aliziandika katika lugha ya Kiyiddish. Mwaka wa 1978 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Isaac Bashevis Singer
Isaac Bashevis Singer
Amekufa 24 Julai 1991
Florida, Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi
Dini Myahudi
Isaac Bashevis Singer
Isaac Bashevis Singer Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isaac Bashevis Singer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Isaac Bashevis Singer Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isaac Bashevis Singer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

14 Julai1902199124 JulaiKiyiddishMarekaniPolandRiwayaTuzo ya NobelWayahudi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ala ya muzikiRwandaAfande SeleGoba (Ubungo)KamusiTafsidaMJMbezi (Ubungo)Vivumishi vya ambaYombo VitukaInsha ya wasifuOrodha ya Marais wa ZanzibarViwakilishi vya pekeeHistoriaMaishaSaida KaroliMweziMajira ya mvuaMabiboMhandisiMartha MwaipajaHisaDodoma MakuluUenezi wa KiswahiliShetaniHistoria ya Kanisa KatolikiJumuiya ya MadolaKishazi huruMizimuNandyUfalme wa MuunganoUkwapi na utaoMadhara ya kuvuta sigaraMatendeAndalio la somoVasco da GamaFalme za KiarabuManchester United F.C.Baraza la mawaziri TanzaniaArusha (mji)SheriaUkristo nchini TanzaniaSumakuVivumishi vya jina kwa jinaMtiBagamoyo (mji)MshororoTabainiKaswendeKen WaliboraVivumishi vya pekeeKinjikitile NgwaleMwenge wa UhuruOrodha ya nchi za AfrikaMasadukayoZuchuOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaKigogo (Kinondoni)Kata za Mkoa wa Dar es SalaamAlama ya uakifishajiUtamaduniGhanaUtumbo mwembambaKadi za mialikoUgonjwa wa kuharaJulius NyerereOrodha ya majimbo ya MarekaniJamhuri ya Watu wa ZanzibarMusaSteve MweusiUbungoSimbaTawahudi🡆 More