Gemma Galgani ni jina fupi la Maria Gemma Umberta Pia Galgani (Borgo Nuovo, Camigliano, 12 Machi 1878 - Lucca 11 Aprili 1903), msichana mlei wa Italia aliyejitokeza kama Mkristo bora mwenye karama za pekee.
Ameitwa Binti wa Mateso kwa jinsi alivyoshiriki yale ya Yesu.
Anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 14 Mei 1933 halafu mtakatifu tarehe 2 Mei 1940.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Gemma Galgani, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.