Erling Braut Håland: Mchezaji wa kandanda wa Norwei

Erling Braut Haaland (alizaliwa 21 Julai 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Norway ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Uingereza Manchester City kwenye Mashindano ya Ligi kuu ya Uingereza na timu ya taifa ya Norway.

Erling Braut Håland: Mchezaji wa kandanda wa Norwei
haaland akicheza dhidi ya wolfsburg
Erling Braut Håland: Mchezaji wa kandanda wa Norwei
Haland akiwa na mpira.
Erling Braut Håland: Mchezaji wa kandanda wa Norwei
Haaland alipokua kwenye mechi ya Ligi ya raundi ya pili ya Bundesliga ya Austria

Anachukuliwa kuwa ni mmoja wa wachezaji bora zaidi ulimwenguni, anajulikana kwa uchezaji wake, kasi na umaliziaji.

Maisha ya awali

Haaland alizaliwa mnamo 21 Julai 2000 huko Leeds, Uingereza, kwani baba yake Alfie Haaland alikuwa akiichezea klabu ya Leeds United kwenye Ligi ya Klabu bingwa barani Ulaya wakati huo. Mnamo 2004, akiwa na umri wa miaka mitatu, alihamia Bryne, mji ambapo wazazi wake wanaishi huko Norwei.

Pamoja na kucheza kandanda tangu utotoni, Haaland alishiriki katika michezo mingine mbali mbali pindi alikua mtoto, ikiwa ni pamoja na mpira wa mikono,gofu na riadha. Pia inasemekana alipata rekodi ya dunia katika kitengo cha umri wake kwa kuruka kwa umbali mrefu alipokuwa na umri wa miaka mitano, na umbali uliorekodiwa ni mita 1.63 mnamo mwaka 2006.

Håland alianza kazi yake katika klabu ya nyumbani kwake Bryne FK mnamo 2016, na alihamia Molde FK mwaka uliofuata ambapo alitumia miaka miwili. Mnamo Januari 2019 alihamia upande wa Austria Red Bull Salzburg kwa mkataba wa miaka mitano. Alicheza katika Ligi ya Mabingwa wa Ulaya (UEFA) ya 2019-20, alikuwa kijana mdogo kuliko wote kucheza mechi tano mfululizo za Ligi ya Mabingwa ya UEFA.

Mnamo 29 Desemba 2019, Håland alihamia Borussia Dortmund ya Ujerumani kwa ada iliyoripotiwa kuwa milioni 20.

Marejeo

Erling Braut Håland: Mchezaji wa kandanda wa Norwei  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Erling Braut Håland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

200021 JulaiKlabuManchester CityMchezajiMpira wa miguuMshambuliajiNorwayTimu ya taifaUingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SayansiUpinde wa mvuaAina za manenoSadakaMkoa wa ShinyangaNgw'anamalundiKiingerezaDiglosiaVidonge vya majiraMavaziDhamiraBarua pepeMbogaVivumishi vya kuoneshaNguruweMaishaMuda sanifu wa duniaKabilaBikiraKanga (ndege)Vivumishi vya pekeeUhuru wa TanganyikaAli Hassan MwinyiUajemiTumbakuUmoja wa MataifaStashahadaOrodha ya nchi za AfrikaMeno ya plastikiHadhira25 ApriliNomino za kawaidaJokofuUDAKidole cha kati cha kandoMaajabu ya duniaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMkoa wa KageraShinikizo la juu la damuNyangumiWamasaiKiumbehaiHoma ya mafuaAzimio la ArushaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMazingiraKimeng'enyaMzeituniKanda Bongo ManUtamaduniOrodha ya majimbo ya MarekaniTabataMshororoLugha ya taifaDuniaBinadamuMmeaMbeya (mji)Kanye WestOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaChuo Kikuu cha Dar es SalaamNahauKiboko (mnyama)MagharibiKiongoziAmri KumiTovutiOrodha ya Marais wa ZanzibarAgostino wa HippoWilaya ya KinondoniOrodha ya Marais wa UgandaUkristo nchini TanzaniaLady Jay DeeNeva🡆 More