Djigui Diarra, (alizaliwa 27 Februari 1995) ni mchezaji wa kitaalamu wa mpira wa miguu wa Mali anayecheza nafasi ya mlinda mlango katika klabu ya Ligi Kuu Tanzania Bara ya Young Africans na timu ya taifa ya Mali.
Pia aliwakilisha nchi yake katika Kombe la Dunia la FIFA chini ya miaka 20 ya 2015, ambapo walifikia nafasi ya tatu.
Diarra alijiunga na klabu ya Kitanzania ya Young Africans S.C. mwezi Agosti mwaka 2021.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Djigui Diarra kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Djigui Diarra, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.