Coolio

Artis Leon Ivey, Jr.

1 Agosti 1963), anafahamika sana kwa jina la kisanii kama Coolio, ni rapa, mwanamuziki na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Amekuwa mashuhuri wakati wa 1994 na kibao chake cha kwanza cha "Fantastic Voyage", na kisha baadaye mwaka wa 1995 na kibao chake mashuhuri-chenye mafanikio cha "Gangsta's Paradise", ambacho kilikuwa moja kati ya sehemu ya kibwagizo cha filamu ya Dangerous Minds.

Coolio
Coolio at a US Army base in Bosnia (2002)
Coolio at a US Army base in Bosnia (2002)
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Artis Leon Ivey, Jr.
Amezaliwa 1 Agosti 1963 (1963-08-01) (umri 60)
Asili yake Monessen, Pennsylvania, U.S.
Aina ya muziki West Coast Hip-Hop, Gangsta Rap, G-Funk
Kazi yake Emcee/Mwigizaji/Mtangazaji wa Kipindi cha Mapishi katin Intaneti
Miaka ya kazi 1990–mpaka sasa
Studio Tommy Boy/Warner Bros. Records
Ame/Wameshirikiana na WC and the Maad Circle, Kel Mitchell, Kenan Thompson, Tupac, Snoop Dogg
Tovuti Coolio.com

Maisha ya awali

Coolio alizaliwa mjini Monessen, Pennsylvania, akiwa kama mtoto wa Artis Leon Ivey Sr., fundi seremara, na Jackie Slater, mfanya kazi wa kiwandani. Wazazi wake walitalikiana na familia ili hama na kwenda mjini Compton, California. Coolio aliingia matatani akiwa nje ya nymbani kwa jinsi alivyotumia wakati wake na vijana wa kuhuni wa Compton's Mona Park Crips, ijapokuwa hakukubaliwa kabisa kuingia kwenye uhuni.

Coolio alikuwa mgeni mzoefu wa kituo cha redio cha mjini Los Angeles, KDAY.

Kazi za awali za muziki za Coolio zilishiia na uuzaji wa madawa ya kulevya feki. Baada ya kujirekebisa, Coolio alifanya kazi mbalimbali.

Diskografia

    Makala kuu: Diskografia ya Coolio
  • It Takes a Thief (1994)
  • Gangsta's Paradise (1995)
  • My Soul (1997)
  • El Cool Pacifico (2000)
  • Coolio.com (2001) (Japan-limited release)
  • El Cool Magnifico (2002)
  • The Return of the Gangsta (2006)
  • Steal Hear (2008)
  • From The Bottom 2 The Top (2009)

Marejeo

Viungo vya Nje

Coolio 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

Coolio Maisha ya awaliCoolio DiskografiaCoolio MarejeoCoolio Viungo vya NjeCoolio1 Agosti1963Gangsta's Paradise (wimbo)Jina la kisaniiMarekaniMwigizajiRapa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SerikaliOrodha ya Magavana wa TanganyikaHaki za watotoSkautiSomo la UchumiNchiBahari ya HindiKidole cha kati cha kandoKanzuMbeguUchekiAlama ya barabaraniFasihi ya KiswahiliMnara wa BabeliMishipa ya damuLucky DubeSanaa za maoneshoMweziNgome ya YesuKiumbehaiInsha ya wasifuRwandaRedioUgonjwa wa uti wa mgongoBenderaOrodha ya milima mirefu dunianiMsengeJihadi27 MachiUfugaji wa kukuJumuiya ya MadolaMeta PlatformsHoma ya matumboVirusi vya UKIMWIWayahudiWikipediaKrismasiNambaFalsafaShirikisho la Afrika MasharikiJumamosi kuuMunguMombasaMbooMlongeMaghaniMafarisayoJohn Raphael BoccoMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMauaji ya kimbari ya RwandaSarufiHadithiKombe la Dunia la FIFAKongoshoNdoo (kundinyota)AdhuhuriWikimaniaKatekisimu ya Kanisa KatolikiKuhani mkuuSinagogiSikukuuBurundiSaida KaroliTeknolojia ya habariWanyamweziMkungaBinamuHadithi za Mtume MuhammadMajira ya baridiHistoria ya IsraelSaharaNamba za simu TanzaniaUturukiMvua🡆 More