Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya ni chuo kikuu cha umma kinachopatikana katika jiji la Mbeya, Tanzania.
Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya zamani kilijulikana kama chuo cha ufundi Mbeya.
Wavuti ya chuo Kigezo:Vyuo vikuu vya Tanzania
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.