Buzz Aldrin: Mwana anga wa Marekani

Dr.

Edwin Eugene "Buzz" Aldrin, Jr. (*20 Januari 1930) ni rubani na mwanaanga kutoka nchi ya Marekani. Alikuwa mtu wa pili kukanyaga uso wa Mwezi alipofika pamoja na Neil Armstrong kwenye safari ya chombo cha anga cha Apollo 11.

Buzz Aldrin: Mwana anga wa Marekani
Aldrin kwenye mwaka 1969.

Aldrin na Armstrong walifika mwezini tarehe 20 Julai 1969 wakiwa watu wa kwanza waliomaliza safari hadi gimba la angani tofauti na Dunia yetu.

Aldrin aliwahi kusoma uhandisi mitambo kwenye chuo cha kijeshi cha West Point mnamo 1951. Aliendelea hadi kupokea shahada ya uzamivu ("PhD") katika fani ya usafiri wa angani kwenye Chuo cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) mnamo 1963.

Aliteuliwa kwa safari ya kwenda mwezini na kufika pale alipokuwa na umri wa miaka 39.

Maisha ya baadaye

Aldrin aliondoka katika utumishi wa NASA mnamo 1972 akaendelea katika jeshi la anga. Alikuwa na matatizo ya kuozea maisha ya kawaida akipambana kwa miaka kadhaa na majonzi na ulevi.

Baada ya kustaafu kabisa alitunga vitabu kadhaa kuhusu maisha yake.

Aldrin alioa mara tatu akipata na watoto watatu kutoka ndoa yake ya kwanza.

Marejeo

Viungo vya nje

Buzz Aldrin: Mwana anga wa Marekani 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Buzz Aldrin: Mwana anga wa Marekani 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:

Tags:

193020 JanuariApollo 11MarekaniMtuMwanaangaMweziNeil ArmstrongRubaniSafari

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mapambano kati ya Israeli na PalestinaStadi za lughaOrodha ya Marais wa TanzaniaUkristo barani AfrikaNchiSaratani ya mlango wa kizaziFonimuMaishaVivumishi vya pekee28 MachiKiraiMichael JacksonOrodha ya viongoziSemantikiSintaksiMkoa wa Unguja Mjini MagharibiNgeli za nominoAgano JipyaMunguAunt EzekielUzazi wa mpangoMtende (mti)Clatous ChamaMalariaIsimuInshaThe MizMbwana SamattaMapambano ya uhuru TanganyikaNamba tasaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMr. BlueSaharaTmk WanaumeUbakajiMarekaniUlumbiSinagogiOrodha ya nchi kufuatana na wakaziUtegemezi wa dawa za kulevyaShairiKenyaUtamaduni wa KitanzaniaAslay Isihaka NassoroVita Kuu ya Kwanza ya DuniaKihusishiMsibaMapinduzi ya ZanzibarDaudi (Biblia)UandishiOrodha ya miji ya MarekaniBendera ya KenyaBenderaInstagramKigoma-UjijiMwakaNgonjeraKichochoVielezi vya namnaDini nchini TanzaniaMlongeRushwaMwanzoJiniDhambiNileJamhuri ya Watu wa ZanzibarHistoria ya WapareIsraeli ya KaleUgonjwa wa uti wa mgongoArusha (mji)Walawi (Biblia)Nyati wa Afrika🡆 More