Kwa matumizi tofauti ya neno hili angalia makala Fani (fasihi)
Fani (kutoka ar. فنع "bora") ni uwanja maalumu wa elimu, maarifa au kazi. Kutaja kazi fulani kuwa "fani" kunahitaji kiwango fulani wa ubora au taaluma.
Mifano ya fani katika ufundi ni pamoja na useremala, ujenzi, uhunzi, upishi au uchoraji.
Mifano ya fani katika sayansi au elimu ya juu ni pamoja na
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Fani, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.