Augustino Schoeffler

Augustino Schoeffler, M.E.P.

Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19 (16251886).

Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lạc na wenzake 116.

Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Pius X na Papa Pius XII waliwatangaza kuwa wenye heri, halafu Papa Yohane Paulo II aliwaunganisha katika kuwafanya watakatifu wafiadini tarehe 19 Juni 1988.

Sikukuu yao huadhimishwa kwa pamoja kila tarehe 24 Novemba, ila ya kwake menyewe tarehe 1 Mei.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Les Missions Etrangères. Trois siecles et demi d'histoire et d'aventure en Asie Editions Perrin, 2008, ISBN 978-2-262-02571-7
  • "St. Andrew Dung-Lac & Martyrs", by Father Robert F. McNamara, Saints Alive and All God's Children Copyright 1980-2010 Rev. Robert F. McNamara and St. Thomas the Apostle Church.
  • "Vietnamese Martyr Teaches Quiet Lessons", By Judy Ball, An AmericanCatholic.org Web Site from the Franciscans and St. Anthony Messenger Press.

Viungo vya nje

Augustino Schoeffler 
WikiMedia Commons
Augustino Schoeffler  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Augustino Schoeffler Tazama piaAugustino Schoeffler TanbihiAugustino Schoeffler MarejeoAugustino Schoeffler Viungo vya njeAugustino Schoeffler1625182218511886ImaniKarne ya 17Karne ya 18Karne ya 19KifodiniM.E.P.PadriUfaransaWafiadini wa VietnamWakristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KataBotswanaDNAMohammed Gulam DewjiManeno sabaMwanaume28 MachiAntibiotikiOrodha ya makabila ya TanzaniaLigi ya Mabingwa AfrikaMafuta ya wakatekumeniMkoa wa ShinyangaDeuterokanoniUgaidiWilaya ya KilindiKiboko (mnyama)FamiliaTwigaAshokaRohoYouTubeMapigo yasiyo ya kawaida ya moyoDhamiraHistoria ya KanisaBahari ya HindiNzigeYoung Africans S.C.Mkoa wa Dar es SalaamMaajabu ya duniaNdoaWilliam RutoVasco da GamaMethaliUmoja wa MataifaMkoa wa RuvumaKiunguliaLahaja za KiswahiliNdegeNahauUkoloniUkwapi na utaoUandishi wa barua ya simuEthiopiaSinagogiBabeliDakuOrodha ya Marais wa BurundiMkungaLuis MiquissoneHistoria ya AfrikaTanzaniaVirusiBaraza la mawaziri TanzaniaZuhura YunusLil WayneUkooJumaTetekuwangaAC MilanKalendaMaumivu ya kiunoMalariaKontuaJay MelodyAslay Isihaka NassoroVivumishi vya -a unganifuHekalu la YerusalemuMbuWaanglikanaHafidh AmeirAngahewaMazingiraNgw'anamalundiKisima🡆 More