Asali

Asali ni chakula kitamu katika hali kiowevu kinachotengenezwa na nyuki.

Asali
Asali ya kiowevu
Asali
Mizinga ya nyuki nchini Burkina Faso.
Asali
Vyumba vya asali kwenye sega
Asali
Aina kadhaa za asali huganda
Asali
Asali ikichujwa kwa ajili ya kutenga asali halisi na nyuki waliokuwamo.

Nyuki hula mbelewele pamoja na maji matamu ndani ya maua na kuitoa tena katika mzinga wa nyuki kwa kuitunza kwenye sega. Ndani ya sega kiowevu huiva kuwa asali kamili.

Asali inavunwa na watu na kuwa chakula muhimu. Asali hujenga afya. Katika nchi za kaskazini ilikuwa njia ya pekee ya kutia utamu kwenye chakula kabla ya kupatikana kwa sukari kwa njia ya biashara ya kimataifa.

Viungo vya nje

Asali 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:


Asali  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asali kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ChakulaKiowevuNyuki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MbeyaWaheheUlimwenguNdovuVivumishi vya kuoneshaNandyAli Hassan MwinyiMaana ya maishaMbagalaWilaya ya Nzega VijijiniAfrikaSoko la watumwaOrodha ya Magavana wa TanganyikaZuchuSarufiSaidi Salim BakhresaJoseph ButikuMkoa wa MaraMkutano wa Berlin wa 1885Orodha ya Makamu wa Rais TanzaniaNominoShahawaTamthiliaMajiHomoniMaishaSabatoLongitudoUkutaMadawa ya kulevyaMkoa wa SongweNgeliOrodha ya milima ya AfrikaShukuru KawambwaFasihi simuliziEthiopiaHistoria ya Kanisa KatolikiEl NinyoIsimuUnyenyekevuHuduma ya kwanzaUyahudiOrodha ya miji ya TanzaniaP. FunkPalestinaSaida KaroliOrodha ya makabila ya TanzaniaKilimoSiafuSwalaMkoa wa ManyaraKihusishiMkoa wa NjombeKoroshoTungo kishaziKisimaVitamini CTovutiWameru (Tanzania)Maudhui katika kazi ya kifasihiAli KibaDini asilia za KiafrikaVivumishi vya urejeshiUgandaMaajabu ya duniaIntanetiHistoria ya IranVidonge vya majiraBibliaSikukuu za KenyaMlongeMeno ya plastikiKanda Bongo Man🡆 More