Antoine Henri Becquerel

Antoine Henri Becquerel (15 Desemba 1852 – 25 Agosti 1908) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa.

Medali ya Tuzo Nobel
Medali ya Tuzo Nobel
Antoine Henri Becquerel
Henri Becquerel

Mwaka wa 1896 aligundua mionzi nururishi. Mwaka wa 1903, pamoja na Pierre Curie na Marie Curie alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Kizio cha upimaji wa unururifu kinaitwa Becquerel kwa heshima yake.

Antoine Henri Becquerel Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antoine Henri Becquerel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

15 Desemba1852190825 AgostiMwanafizikiaUfaransa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MajiMafurikoJamhuri ya Watu wa ChinaBendera ya ZanzibarHaki za binadamuViwakilishiNdiziKisimaBaruaVieleziJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaKisaweUnyagoHomoniMkoa wa Dar es SalaamMapenzi ya jinsia mojaMpira wa miguuWilaya ya UbungoShangaziWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMillard AyoTanganyika (ziwa)P. FunkVivumishi vya kumilikiDubai (mji)Agostino wa HippoIndonesiaNgw'anamalundiShikamooUyahudiOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaVichekeshoNyukiMapambano kati ya Israeli na PalestinaUsafi wa mazingiraWilaya ya KinondoniDoto Mashaka BitekoMwanzo (Biblia)Azimio la ArushaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaCristiano RonaldoNg'ombe (kundinyota)Vita Kuu ya Pili ya DuniaNgamiaKitenzi kikuuWilaya ya ArushaUandishiInjili ya MarkoAsili ya KiswahiliMatumizi ya LughaMazungumzoMkoa wa DodomaWaluguruSaidi Salim BakhresaNyotaRisalaJumuiya ya MadolaTanganyikaPesaFani (fasihi)Mkoa wa SimiyuPasifikiWameru (Tanzania)AntibiotikiPaul MakondaMkoa wa NjombeRose MhandoMichael JacksonBendera ya TanzaniaJamhuri ya Watu wa ZanzibarRuge MutahabaSkeli🡆 More