Andrea Wa Soveral Na Wenzake

Andrea wa Soveral (São Vicente, 1572 – Cunhau, 16 Julai 1645) alikuwa padri wa Brazil wakati wa ukoloni.

Awali alijiunga na shirika la Wajesuiti lakini baadaye aliliacha akabaki mwanajimbo.

Andrea Wa Soveral Na Wenzake
Maziara ya wafiadini wa Natal.

Aliuawa kikatili na Waprotestanti pamoja na waumini 69 wakati wa kuadhimisha Misa kanisani.

Padri mwingine, Ambrosio Fransisko Ferro, na wenzake 27 waliuawa vilevile tarehe 3 Oktoba mwaka uleule.

Papa Yohane Paulo II aliwatangaza wenye heri tarehe 5 Machi 2000, halafu Papa Fransisko aliwatangaza watakatifu tarehe 15 Oktoba 2017.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 16 Julai.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Andrea Wa Soveral Na Wenzake  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

157216 Julai1645BrazilMwanajimboPadriUkoloniWajesuiti

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ligi ya Mabingwa AfrikaFIFAJulius NyerereKUgonjwa wa kuharaMenoMofimuSimba S.C.Abedi Amani KarumeMethaliMkoa wa PwaniKifo cha YesuMoyoMikoa ya TanzaniaNathariRamaniTashihisiDhahabuMweziKamusi ya Kiswahili sanifuShengThrombosi ya kina cha mishipaMtawaKatibuViunganishiNomino za dhahaniaShahawaTungo kishaziHisiaNahauLongitudoVitamini CPilipiliJangwaKishazi huruMalipoUkwapi na utaoZambiaShairiWakingaErling Braut HålandLugha ya kwanzaFur EliseLafudhiAsidiKusiniJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoWizara za Serikali ya TanzaniaHadithiMohamed HusseinTimu ya Taifa ya Kandanda ya KenyaUsawa (hisabati)Vielezi vya idadiRedioKamusi ya Kiswahili - KiingerezaAishi ManulaUundaji wa manenoJNomino za wingiOrodha ya nchi za AfrikaKiarabuSemantikiMahariUajemiNamba za simu TanzaniaWanyamaporiKitenzi kikuu kisaidiziUshairiMwanamkeTheluthiKiboko (mnyama)TaifaMjiMaana ya maishaUtapiamloUkraineKongoshoUsanisinuru🡆 More