Alfonso Maria Fusco (Angri, Salerno, 23 Machi 1839 – Angri, 6 Februari 1910) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki huko Italia Kusini.
Alishughulikia hasa wakulima, akaanzisha shirika la kitawa la Masista wa Mt. Yohane Mbatizaji kwa ajili ya malezi ya vijana hasa fukara na yatima.
Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 7 Oktoba 2001, halafu mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 16 Oktoba 2016.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Alfonso Maria Fusco, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.