Aleksanda Sauli

Aleksanda Sauli (Milano, Lombardia, 15 Februari 1534 - Calosso, Piemonte, 11 Oktoba 1592) alikuwa askofu wa Pavia na mtawa wa shirika la Makleri wa Mt.

Paulo">Makleri wa Mt. Paulo, maarufu kama Wabarnaba, nchini Italia.

Aleksanda Sauli
Mt. Aleksanda, Mtume wa Corsica.

Aliacha maandishi mbalimbali.

Alitangazwa na Papa Benedikto XIV kuwa mwenye heri tarehe 23 Aprili 1741, tena mtakatifu na Papa Pius X tarehe 11 Desemba 1904.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Frigerio, D. (1992). Alessandro Sauli: Vescovo e Santo di Ieri e di Oggi (1534–1592). Milano: Edizione "La Voce".
Aleksanda Sauli  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

11 Oktoba15 Februari15341592AskofuItaliaLombardiaMakleri wa Mt. PauloMilanoMtawaPaviaPiemonteShirikaWabarnaba

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SamakiKilimoWilliam RutoJuaAfrika ya MasharikiSanaaTreniVidonge vya majiraHaki za binadamuMisimu (lugha)Mkoa wa MbeyaWasukumaAgano JipyaMafuta ya wakatekumeniAina ya damuUpinde wa mvuaMaajabu ya duniaDini nchini TanzaniaHoma ya iniDhamiriJulius NyerereOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaAlasiriMazingiraNgw'anamalundiFasihi andishiMjombaLugha za KibantuTaasisi ya Taaluma za KiswahiliMlo kamiliUchimbaji wa madini nchini TanzaniaMtakatifu PauloVivumishi vya kumilikiSentensiViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)MeliPaul MakondaWema SepetuMapambano kati ya Israeli na PalestinaUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius NyerereTungo kishaziMfumo katika sokaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)TwigaItaliaEe Mungu Nguvu YetuMwanaumeInjili ya MathayoSiku tatu kuu za PasakaUhifadhi wa fasihi simuliziMongoliaBikira MariaAzimio la ArushaSteven KanumbaVieleziRohoSaida KaroliJacob StephenTanganyikaNabii EliyaUgaidiSayariAnna MakindaMakabila ya IsraeliMnara wa BabeliMwaka wa KanisaBaruaTabianchiFasihi simuliziAsiaMweziIsrael🡆 More