Albrecht Dürer

Albrecht Dürer (21 Mei 1471 - 6 Aprili 1528) alikuwa mchoraji na mkata nakhshi] Mjerumani.

Alifahamika pia kama mtaalamu wa hisabati, hasa jiometria. Ahesabiwa kama msanii muhimu zaidi wa zama ya mwamko katika Ulaya ya kaskazini.

Albrecht Dürer
Dürer alivyojichora mwenyewe mnamo 1498

Mitindo ya kazi

Sehemu kubwa ya kazi za Dürer ni chapisho za picha nakhshi katika ubao au shaba. Alichora pia picha kwa rangi za mafuta na rangi za maji.

Maisha

Dürer alizaliwa mjini Nürnberg alipoishi na kufa. Wakati ule Nürnberg ilikuwa mji tajiri wa biashara ya kimataifa.

Baba yake alikuwa Mhungaria aliyemfundisha ufundi wa kuchonga dhahabu.

Alipokuwa kijana alifanya matembezi ya miaka mitano katika Ujerumani, Uholanzi na Uswisi alipoboresha sanaa yake.

Baadaye aliongeza safari ya kwenda Italia alipofanya kazi Venezia na kuona mengi.

Mwaka 1494 alifunga ndoa na Agnes Frey akafungua karakana yake. Kazi mashuhuri ya kwanza ilikuwa mfululizo wa picha nakhshi katika ubao 15 kuhusu Ufunuo wa Yohane.

Aliendelea kuchora picha nyingi za dini juu ya habari na watu wa Biblia. Lakini alitafutwa pia na matajiri na wakubwa waliotaka picha zao.

Kuanzia mwaka 1512 aliajiriwa mara nyingi na Kaisari Maximilian I.

Picha

Viungo

Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

Albrecht Dürer Mitindo ya kaziAlbrecht Dürer MaishaAlbrecht Dürer ViungoAlbrecht Dürer1471152821 Mei6 ApriliHisabatiJiometriaMchorajiMsaniiUjerumaniZama ya mwamko

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ligi ya Mabingwa AfrikaUtawala wa Kijiji - TanzaniaLady Jay DeeUkongaJamhuri ya Watu wa ZanzibarZabibuAlama ya barabaraniMjombaWairaqwOrodha ya vitabu vya BibliaMbwana SamattaKataMatumizi ya lugha ya KiswahiliTashihisiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaTanganyika African National UnionShairiSayansiKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaUkabailaBurundiHisiaSilabiWakaguruWilaya ya KinondoniVokaliZama za ChumaMkoa wa IringaRoho MtakatifuElimu ya bahariGeorDavieEe Mungu Nguvu YetuAina za udongoWadatogaVita vya KageraUkoloniUzazi wa mpangoNguzo tano za UislamuHomoniMwanzo (Biblia)Orodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaHistoria ya KanisaMweziHistoria ya BurundiMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaUtandawaziKatekisimu ya Kanisa KatolikiHistoriaLigi ya Mabingwa UlayaMofimuOrodha ya majimbo ya MarekaniKisimaMpira wa miguuYombo VitukaTarakilishiWangoniViwakilishi vya sifaDiamond PlatnumzOrodha ya kampuni za TanzaniaSkeliMtiUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaChristina ShushoPesaMilaOrodha ya Marais wa TanzaniaNomino za pekeeMatendeUchawiKumaAgano la KaleHali ya hewaKamusi Hai ya Kiswahili Mtandaoni🡆 More