Agostina Pietrantoni (Pozzaglia Sabina, Italia, 27 Machi 1864 - Roma, Italia, 13 Novemba 1894) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki katika shirika la Masista wa Upendo wa Kimungu.
Alihudumia wagonjwa hadi alipouawa na mmojawao.
Anaheshimiwa kama mtakatifu bikira. Kwanza alitangazwa na Papa Paulo VI kuwa mwenye heri tarehe 12 Novemba 1972 halafu alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mtakatifu tarehe 18 Aprili 1999.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Agostina Pietrantoni, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.