Agata Chon Kyonghyob

Agata Chon Kyonghyob (aliteswa na kukatwa kichwa Seoul, 26 Septemba 1839) ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888.

Wanakadiriwa kuwa 8,000 - 10,000.

Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa watakatifu tarehe 6 Mei 1984.

Sikukuu ya hao Wafiadini wa Korea huadhimishwa tarehe 20 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe ni siku ya kifodini chake.

Waliouawa pamoja naye ni: Sebastiani Nam Igwan, Magdalena Ho Kyeim, Julita Kim, Charles Cho Shinchol, Ignas Kim Chejun, Magdalena Pak Pongson, Perpetua Hong Kimju, Kolumba Kim Hyoim.

Mazingira

Mwishoni mwa karne ya 18, Ukristo wa Kikatoliki ulianza kuenea taratibu nchini kwa juhudi za wananchi walei. Mwaka 1836 Korea, nchi ya Kikonfusyo ilipata wamisionari wa kwanza kutoka nje (wanashirika wa Paris Foreign Missions Society).

Chini ya nasaba ya Joseon, Ukristo ulifutwa, tena waamini walidhulumiwa na kuuawa. Waliobaki walipaswa kushika imani yao kwa siri.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Agata Chon Kyonghyob  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Agata Chon Kyonghyob MazingiraAgata Chon Kyonghyob Tazama piaAgata Chon Kyonghyob TanbihiAgata Chon Kyonghyob MarejeoAgata Chon Kyonghyob Viungo vya njeAgata Chon Kyonghyob17911839188826 SeptembaImaniKanisa KatolikiKichwaKoreaKundiSeoulWakristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ligi Kuu Tanzania BaraUlayaDhamiriMnururishoWayao (Tanzania)SabatoShomari KapombeMkoa wa KigomaAina ya damuDiniKifo cha YesuChuo Kikuu cha Dar es SalaamTausiThe MizHali maadaMusuliKukuKuraniRadiWanyakyusaMsitu wa AmazonUundaji wa manenoAbedi Amani KarumeFutariNgeli za nominoOrodha ya miji ya MarekaniAbby ChamsChakulaYouTubeKidole cha kati cha kandoTelevisheniNgamiaKilimanjaro (Volkeno)ShereheMbuUkwapi na utaoKisimaIndonesiaSaratani ya mlango wa kizaziMakabila ya IsraeliHistoria ya AfrikaDini nchini TanzaniaMafua ya kawaidaMaishaKiingerezaMatamshiWasafwaKibodiKitenzi kishirikishiBasilika la Mt. PauloChelsea F.C.MendeSkeliMichelle ObamaOrodha ya MiakaFid QMaadiliWashambaaBaraShengNyegereMmeaMashariki ya KatiKiunguliaMwakaMillard AyoYuda IskariotiWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya shule nchini TanzaniaKisiwa cha MafiaMaudhuiMkwawaDNAHoma ya manjanoBiashara🡆 More