Ace Hood

Antoine McColister (anajulikana zaidi kama Ace Hood; alizaliwa Port St.

Lucie, Florida">Port St. Lucie, Florida, Mei 11, 1988) ni rapper wa Marekani.

Ace Hood
Ace Hood akiwa Howard University.

Ace Hood alilelewa na mama yake na binamu Ty Barton Jr. huko Deerfield Beach. Alihitimu Shule ya Upili ya Deerfield Beach.

Hapo awali alikuwa amesainiwa na lebo ya DJ Khaled We the Best Music Group, Def Jam Recordings na Cash Money Record. Albamu yake ya kwanza kutoka ni Gutta-. Ametoa Albamu nne Blood,Sweat & Tears (2011) na Trials & Tribulations (2013). Anajulikana zaidi kwa nyimbo kali "Hustle Hard" na "Bugatti".

Ace Hood Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ace Hood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1988MarekaniMei 11Port St. Lucie, FloridaRapa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Napoleon BonaparteJinsiaHistoria ya TanzaniaHistoria ya KanisaTundaHaki za watotoRose MhandoLeopold II wa UbelgijiMkataba wa Helgoland-ZanzibarChombo cha usafiriMajiMoyoTabataMfumo wa mzunguko wa damuTanganyikaMnara wa BabeliUongoziAlasiriMamlaka ya Mapato ya TanzaniaHoma ya iniEe Mungu Nguvu YetuUgaidiFasihi ya KiswahiliMahakamaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziUgandaUfufuko wa YesuIsraelBikiraIndonesiaShetaniRené DescartesUundaji wa manenoVidonda vya tumboMivighaBoris JohnsonLugha za KibantuFananiTabianchiJinaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaTabainiMkoa wa MbeyaVitenzi vishiriki vipungufuAndalio la somoUwanja wa Taifa (Tanzania)Bukayo SakaRobin WilliamsUnju bin UnuqMofimuMarekaniFiston MayeleAshokaUislamuFani (fasihi)Orodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaOrodha ya makabila ya TanzaniaLahajaZiwa ViktoriaMamba (mnyama)DhahabuSayariElimuUchekiHafidh AmeirAlama ya barabaraniOrodha ya vitabu vya BibliaViwakilishi vya urejeshiUandishi wa barua ya simuKalenda ya mweziMaghani🡆 More