1695: Mwaka

Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka


Makala hii inahusu mwaka 1695 BK (Baada ya Kristo).

Matukio

  • Kuanzishwa kwa Ufalme wa Ashanti. Kufuatana na mapokeo ya Waashanti mfalme wa Kumasi (au:Kumasihene) Osei Kofi Tutu I alipokea "kikalio cha dhahabu" kama alama ya kuteuliwa na mbinguni lakini hali halisi kiti kilitengenezwa na kuhani Okomfo Anokye.
  • 27 Januari: Mustafa II anachukua nafasi ya Sultani wa Dola la Uturuki badala ya Ahmad II aliyefariki
  • 17 Julai: Benki ya Uskoti inaanzishwa kwa sheria ya bunge la Uskoti
  • 31 Desemba: Kodi ya madirisha inazishwa Uingereza; wenye nyumba wengi wanafunga madirisha kwa matofari ili kuepukana na kodi hiyo.

Waliozaliwa

Mwaka 2024 katika kalenda nyingine
Kalenda ya Gregori 2024
MMXXIV
Kalenda ya Kiyahudi 5784 – 5785
Ab urbe condita (Roma ya Kale) 2777
Kalenda ya Ethiopia 2016 – 2017
Kalenda ya Kiarmenia 1473
ԹՎ ՌՆՀԳ
Kalenda ya Kiislamu 1446 – 1447
Kalenda ya Kiajemi 1402 – 1403
Kalenda za Kihindu
- Vikram Samvat 2079 – 2080
- Shaka Samvat 1946 – 1947
- Kali Yuga 5125 – 5126
Kalenda ya Kichina 4720 – 4721
癸卯 – 甲辰

Waliofariki

1695: Mwaka 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

Lango:BiografiaLango:HistoriaOrodha ya Miaka

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UtapiamloAir TanzaniaShengWapareTendo la ndoaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaPijini na krioliMkoa wa NjombeHedhiMkoa wa RuvumaChombo cha usafiri kwenye majiRedioUti wa mgongoJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaDeuterokanoniTupac ShakurTmk WanaumeSteve MweusiPalestinaWimboMtakatifu PauloUkristoMuda sanifu wa duniaUlemavuDamuMkoa wa KigomaVidonda vya tumboKifua kikuuOrodha ya Marais wa MarekaniChuo Kikuu cha Dar es SalaamTamathali za semiCAFKitenzi kikuu kisaidiziTreniMadinaInjili ya YohaneMsukuleKito (madini)Historia ya UislamuRené DescartesKiboko (mnyama)Saratani ya mapafuKuhani mkuuWashambaaBibliaShomari KapombeChakulaBunge la Afrika MasharikiZakaDuniaTungo kiraiKiumbehaiAfande SeleKiarabuWikimaniaDaudi (Biblia)Michelle ObamaWamasoniAngkor WatKiambishi awaliOrodha ya milima ya TanzaniaChelsea F.C.DhahabuArusha (mji)WaanglikanaMethaliMzabibuNairobiKontuaUajemiSaidi NtibazonkizaUbuyuIndonesia🡆 More