Breshbee

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi.

Joined 2 Novemba 2021
Latest comment: miaka 2 iliyopita by Riccardo Riccioni

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wiki Kiswahili. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wiki: Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:11, 25 Novemba 2021 (UTC)

Please, don't start long new pages in Swahili if you don't understand our language. Thanks! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:11, 25 Novemba 2021 (UTC)

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

TanzaniaImaniShikamooAwilo LongombaNyanya chunguMatendo ya MitumeFamiliaUzazi wa mpangoNyotaTabianchi ya TanzaniaVivumishi vya idadiUsawa (hisabati)MsalabaHadithiMsikitiMamba (mnyama)Orodha ya majimbo ya MarekaniSayariDaudi (Biblia)Muundo wa inshaWagogoUislamuHali ya hewaUajemiIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Uhalifu wa kimtandaoTabianchiLakabuElimu ya kujitegemeaSaidi Salim BakhresaKampuni ya Huduma za MeliMange KimambiSokoWilaya ya KinondoniHaki za wanyamaMaliasiliMwanaumeMfumo wa homoniMasafa ya mawimbiMisimu (lugha)Uandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaNguruweSoko la watumwaJoziMkoa wa SimiyuKitenzi elekeziDolar ya MarekaniToharaKakakuonaMapenziWangoniMuungano wa Madola ya AfrikaAnwaniUkabailaKifaruMbaraka MwinsheheMapambano ya uhuru TanganyikaUfupishoHadhiraUmoja wa AfrikaHistoria ya UislamuOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaIstilahiNyangumiBara la AntaktikiMbogaKengeBahashaKuchaKitenzi kikuuJipuChawaPaka-kayaUfilipino🡆 More