Zorica Mršević (alizaliwa 7 Oktoba 1954) ni profesa wa Serbia, mwanasheria, mtafiti na mwanaharakati wa haki za binadamu.Mršević Anafanya kazi katika uwanja wa haki za binadamu na ufeministi, katika ngazi za ndani na kimataifa.
Mršević Baada ya kuhitimu kutoka Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Belgrade mnamo 1977, alipata digrii ya LLM mnamo mwak 1983, ikifuatiwa na digrii ya PhD katika Sheria mnamo mwaka 1986 kutoka Chuo Kikuu cha Belgrade.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zorica Mršević kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Zorica Mršević, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.