Xi'an

Xi'an ni makao makuu ya Mkoa wa Shaanxi nchini China.

Kwenye mwaka 2011 ilikuwa na wakazi milioni 6.

Xi'an (Sian) 西安市
Vivutio vya Xi'an: Jeshi la Matofali, Mnara wa kengele na goma, Bustani ya Xingqinggong, msikiti, Ukuta wa mji, Pagoda ya bata bukini
Nchi China
Jimbo / Mkoa Shaanxi
Anwani ya kijiografia 34°15′54″N 108°57′14″E
Kimo m 405
Eneo km2 1,088
Wakazi 7,135,000
Msongamano wa watu 6,600/km2
Simu 29
Tovuti rasmi www.xa.gov.cn
Xi'an
Mahali pa Xi'an katika China

Jiji hilo ni maarufu kwa Jeshi la Matofali lililopatikana ndani ya kaburi la kaisari wa kwanza wa China Qin Shi Huang.

Historia

Mji huu ulikuwa mji mkuu wa nasaba za wafalme 13, pamoja na nasaba ya Zhou, nasaba ya Qin, nasaba ya Han, nasaba ya Sui, na nasaba ya Tang.

Umuhimu wa mji ulitokana na mahali pake kwenye chanzo cha Barabara ya Hariri iliyounganisha China na Asia ya Magharibi na ya Kusini .

Xi'an inachukuliwa kuwa moja ya taji za kongwe zaidi katika historia ya ulimwengu pamoja na nyingine tatu za Athene, Roma na Cairo.

Jina

Xi'an ilijulikana zaidi kwa tahajia ya Sian. Jina la Xi'an lilichaguliwa kwa maana ya "Amani ya Magharibi" wakati wa nasaba ya Ming kwa sababu ilikuwa mji mkubwa kwenye magharibi ya milki ya Ming.

Utamaduni na Utalii

Kama mji wa kihistoria, Xi'an bado imezungukwa na ukuta wa kale. Kivutio kikuu cha wageni ni makaburi ya kifalme pamoja na "jeshi la matofali". Halafu:

  • Banpo: kijiji cha zama za mawe
  • Ukuta wa mji
  • Mnara wa kengele na ngoma
  • Pagoda wa bata bukini mwitu
  • Kaburi la Hanyangling

Marejeo

Tags:

Xi'an HistoriaXi'an JinaXi'an Utamaduni na UtaliiXi'an MarejeoXi'an2011Jamhuri ya Watu wa ChinaMakao makuuMilioniMkoaMwakaShaanxi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DhambiPicha takatifuSalaChuraWayback MachineMuda sanifu wa duniaUrusiVirusi vya UKIMWIRobin WilliamsSamakiMatendeKhadija KopaHistoria ya WasanguOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUandishiMaambukizi ya njia za mkojoUgonjwa wa kupoozaHistoria ya AfrikaAngkor WatTafsiriJiniOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaLongitudoMkoa wa MbeyaWilaya ya KilindiOrodha ya miji ya MarekaniMkoa wa RukwaOrodha ya Watakatifu WakristoUmaUkabailaKamusi elezoKiambishi awaliAlama ya barabaraniFamiliaAbedi Amani KarumeMkoa wa KataviAzimio la kaziMbwana SamattaUmoja wa AfrikaNamba za simu TanzaniaTaswira katika fasihiKontuaUandishi wa barua ya simuUtandawaziUsiku wa PasakaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaUtafitiShomari KapombeMeta PlatformsKongoshoMfumo katika sokaShinikizo la juu la damuWahaNgeli za nominoNyaniNomino za wingiUpendoManiiChama cha MapinduziMaudhuiMawasilianoMsamiatiMaradhi ya zinaaTelevisheniAlomofuDizasta VinaTashtitiTanzaniaHistoria ya KiswahiliUandishi wa ripotiFutariOrodha ya Marais wa ZanzibarMisimu (lugha)Mkoa wa Unguja Mjini MagharibiRose MhandoJay Melody🡆 More