Wimbo wa Taifa kwa kawaida ni wimbo (wakati mwingine pia musiki maalumu bila uimbaji) ulioteuliwa na serikali au kwa njia ya sheria na kutumiwa wakati wa nafasi maalumu kama alama au ishara ya taifa, nchi dola na kadhalika.
Matumizi yake mara nyingi hufanana na matumizi ya bendera la taifa.
Nyimbo za taifa zilianza kuwa kawaida katika karne ya 19 katika madola ya Ulaya zikaenea polepole kote duniani pamoja na wazo la "utaifa".
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Wimbo wa Taifa, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.