Wilaya ya Njombe ni wilaya mojawapo kati ya 6 za Mkoa wa Njombe.
Maeneo ya wilaya ya Njombe ya awali yaligawiwa kwa wilaya tatu:
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 420,348 .
Katika sensa ya mwaka 2022 wazazi waliobaki katika eneo la sasa walihesabiwa 109,311 .
Wenyeji asilia wa Njombe ni hasa Wabena.
Kata za Wilaya ya Njombe Vijijini - Mkoa wa Njombe - Tanzania | ||
---|---|---|
Idamba | Igongolo | Ikondo | Ikuna | Kichiwa | Kidegembye | Lupembe | Matembwe | Mfriga | Mtwango | Ninga | Ukalawa |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Njombe bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Njombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Wilaya ya Njombe, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.