Wayne Rooney: Mchezaji mpira na meneja wa Uingereza

Wayne Rooney alikuwa mchezaji wa kandanda aliyeichezea hasa timu ya Manchester United.

Wayne Rooney: Mchezaji mpira na meneja wa Uingereza
Rooney akiichezea Manchester United mwaka 2016.

Amezaliwa tarehe 28 Oktoba 1985 katika mji wa Liverpool katika nchi ya Uingereza.

Alichezea timu ya taifa ya Uingereza katika kombe la dunia mwaka wa 2006 akiwa na umri wa miaka 21. Inasemekana kuwa Rooney aliwahi kupitia mafunzo ya bondia kabla ajiunge na soka. Baada ya kuachana na Man United alihamia katika klabu cha Everton na kuichezea mechi yake ya kwanza dhidi ya Gormahia ya Kenya katika finali ya michezo ya sportpesa huko nchini Tanzania na kufunga bao. Mchezaji huyo alikuwa anavaa jezi namba 10 na kucheza nafasi ya kiungo mshambuliaji.

Mchezaji huyo alilipwa mshahara mkubwa kuliko wote Uingereza, kiasi cha paundi 300,000 kwa wiki.

Wayne Rooney: Mchezaji mpira na meneja wa Uingereza Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wayne Rooney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KandandaManchester UnitedMchezajiTimu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Tanganyika (ziwa)Mpira wa miguuKishazi huruOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaManchester CityIndonesiaUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020YouTubeUkristo barani AfrikaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniSaidi Salim BakhresaLatitudoNguruweHistoria ya IranFisiUchaguzivvjndRohoNdege (mnyama)Mkoa wa Dar es SalaamLionel MessiMange KimambiMkoa wa Unguja Mjini MagharibiSikioMachweoSaratani ya mlango wa kizaziAbedi Amani KarumeBaraza la mawaziri TanzaniaOrodha ya vitabu vya BibliaAustraliaMajina ya Yesu katika Agano JipyaMchwaNamba tasaSayansiMkoa wa MorogoroVita Kuu ya Kwanza ya DuniaHisiaNomino za pekeeWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiKichecheMuhammadArusha (mji)Mr. BlueRaiaNambaUvimbe wa sikioKiazi cha kizunguSayariMuhimbiliMtume PetroKhalifaWizara za Serikali ya TanzaniaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUandishiMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaUtumwaUhuru wa TanganyikaVita Kuu ya Pili ya DuniaCristiano RonaldoDamuFasihi simuliziSamia Suluhu HassanMjombaMkuu wa wilayaNyukiEthiopiaOrodha ya makabila ya TanzaniaLugha za KibantuMillard AyoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoNdovu🡆 More