Wahutu ni kabila kubwa la watu wanaoishi kigoma n'a katavi
katika eneo la Maziwa makubwa ya Afrika, hasa Rwanda na Burundi, lakini pia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Tanzania, hasa baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Jumla yao ni zaidi ya milioni 11.59
Lugha yao ni kati ya lugha za Kibantu na imegawanyika katika lahaja mbili, Kinyarwanda na Kirundi.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wahutu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Wahutu, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.