Volti ni kizio cha umeme tuli au kani mwendoumeme ambao ni tofauti ya utuli baina ya mahali pawili kwenye waya kipitishio na huchukua mkondo usiobadilika wa ampea 1 kama nguvu kati ya sehemu pawili ni wati moja.
Kifupi chake ni V.
Fomula yake ni
Maana yake volti moja ni sawa na hisa ya wati 1 gawanya kwa ampea 1.
Volti ni kipimo cha SI. Jina limetolewa kwa heshima ya mwanafizikia Alessandro Volta kutoka Italia.
Viambishi awali | Desimali |
---|---|
µV 1 (mikrovolti) | V 0,000 001 |
mV 1 (milivolti) | V 0,001 |
V1 (volti) | V 1 |
kV 1 (kilovolti) | V 1 000 |
MV 1 (megavolti) | V 1 000 000 |
GV 1 (gigavolti) | V 1 000 000 000 |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Volti, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.