Black Volta au Mouhoun ni mto unaopitia Burkina Faso kwa takribani kilomita 1,352 (mile 840) hadi White Volta huko Dagbon, Ghana, sehemu ya juu ya Ziwa Volta.
Chanzo cha black Volta kiko katika mkoa wa Cascades wa Burkina Faso, karibu na Mlima Tenakourou, sehemu ya juu kabisa ya nchi. Mto huu kwa chini zaidi unakua ni sehemu ya mpaka kati ya Ghana na Burkina Faso, na baadaye kati ya Côte d'Ivoire na Ghana. Ndani ya Ghana, inaunda mpaka kati ya Savannah na mikoa ya Bono . Bwawa la Bui, mtambo wa kuzalisha umeme kwa maji, umejengwa kwenye mto, kusini tu mwa Mbuga ya Taifa ya Bui, ambapo mto huo unaigawanya.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Volta Nyeusi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.