Umoja Wa Forodha Wa Ulaya

Umoja wa Forodha wa Ulaya (kwa Kiingereza: European Union Customs Union; kwa Kifaransa: Union douanière européenne) ni makubaliano kati ya nchi za Umoja wa Ulaya na nchi nyingine katika bara la Ulaya.

Umoja Wa Forodha Wa Ulaya
Umoja wa Forodha wa Ulaya * Buluu nzito:Umoja wa Ulaya * Buluu nyepesi:Nchi za nyongeza katika Umoja wa Forodha ya Ulaya

Kulingana na sheria za Jumuiya ya Forodha ya Ulaya, ushuru wa kuagiza bidhaa baina ya nchi za wanachama unafutwa na marufuku. Kwa upande mmoja, hii inatumika kwa uagizaji wa biashara na uuzaji wa bidhaa nje kwa kampuni na uagizaji wa binafsi na usafirishaji wa wasafiri wa binafsi. Hii haijumuishi bidhaa kama nishati, pamoja na petroli, dizeli, gesi, wala tumbaku, vinywaji na pombe na kahawa.

Nchi wanachama zina ushuru wa kawaida kwa forodha ya kuagiza bidhaa nje ya umoja wa forodha wa ulaya.

Sehemu ya Jumuiya ya Forodha ya Ulaya inajumuisha nchi za Umoja wa Ulaya pamoja na Norway, Sweden na Liechtenstein, iliyofupishwa kama "Eneo la Uchumi la Ulaya" (kwa Kiingereza: "European Economic Area", kwa Kifaransa: "Espace Economique Européen").

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Tags:

BaraKifaransaKiingerezaNchiUlayaUmoja wa Ulaya

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Doto Mashaka BitekoTanganyika African National UnionMvua ya maweToharaMange KimambiMobutu Sese SekoKinjikitile NgwaleMamelodi Sundowns F.C.WaluguruMkoa wa ShinyangaUandishi wa barua ya simuAfrikaShinikizo la juu la damuChuiUenezi wa KiswahiliJeshiYesuClatous ChamaHistoria ya WapareJakaya KikweteRaiaMalaikaKapteniZana za kilimoKampuni ya Huduma za MeliTundaMohamed HusseiniUbuntuAfrika KusiniMalariaNamba za simu TanzaniaUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaMisriHoma ya manjanoNelson MandelaWingu (mtandao)Wilaya ya IlalaMaumivu ya kiunoMkoa wa KilimanjaroSimuChumaLuhaga Joelson MpinaKaraniShikamooUfahamuLughaKiongoziNjia ya MachoziLahajaHifadhi ya NgorongoroVivumishi vya idadiFonolojiaVirusi vya CoronaMuundo wa inshaInsha ya wasifuVitenzi vishirikishi vikamilifuMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMzabibuSadakaMachweoAgano JipyaAthari za muda mrefu za pombeWitoKassim MajaliwaUislamu nchini TanzaniaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaKanisa KatolikiMkoa wa DodomaJinaViwakilishi vya kumilikiKisimaTanganyika (ziwa)🡆 More