Ufalme wa Sardinia (kwa Kiitaliaː Regno di Sardegna) ni jina rasmi la nchi ya Ulaya Kusini iliyodumu miaka 1324-1861, hadi rasi ya Italia ilipounganishwa kwa kiasi kikubwa chini ya ukoo wa Savoia uliokuwa umepewa kutawala kisiwa hicho cha Bahari ya Kati (kwa kukiunganisha na mikoa yake mitatu ya Italia bara: Piemonte, Liguria na Valle d'Aosta) tangu mwaka 1720.
Miaka hiyo Ufalme wa Sardinia, ukiwa na makao makuu huko Torino, upande wa bara, ulishiriki vita mbalimbali ili kukamilisha umoja wa rasi na kuteka maeneo mengine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ufalme wa Sardinia kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Ufalme wa Sardinia, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.