Uchaguzi Wa Rais Wa Marekani, 1948

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1948 ulikuwa wa 41 katika historia ya Marekani.

Ukafanywa Jumanne tarehe 2 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Harry S. Truman (pamoja na kaimu wake Alben Barkley) aliwashinda mgombea wa "Republican Party" Thomas E. Dewey (pamoja na kaimu wake Earl Warren) na mgombea Strom Thurmond (pamoja na kaimu wake Fielding L. Wright).

Matokeo

Truman akapata kura 303, Dewey 189 na Thurmond 39 (pamoja na kura moja kutoka Tennessee iliyopigiwa kwake badala ya kwa Truman). Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.

Uchaguzi Wa Rais Wa Marekani, 1948 

Tags:

Alben BarkleyHarry S. Truman

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Maumivu ya kiunoOrodha ya milima ya AfrikaJacob StephenSiasaNafsiBibliaVidonda vya tumboMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKitenzi kishirikishiSabatoHifadhi ya SerengetiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaUsafi wa mazingiraBungeKipazasautiSamia Suluhu HassanNgonjeraUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiSwalaPasakaRicardo KakaHistoria ya KiswahiliKisononoChumba cha Mtoano (2010)MajigamboJuxMkoa wa MorogoroVivumishi vya urejeshiDar es SalaamUpepoUzazi wa mpango kwa njia asiliaBahari ya HindiHussein Ali MwinyiKiunguliaMvua ya maweMkuu wa wilayaClatous ChamaMkoa wa TangaMazungumzoHaki za watotoYouTubeKipindupinduKichecheMsokoto wa watoto wachangaOrodha ya vitabu vya BibliaWasukumaOrodha ya milima mirefu dunianiMnururishoMapambano ya uhuru TanganyikaKisimaHarmonizeMoscowHadithi za Mtume MuhammadMilanoMarie AntoinetteRamaniRadiBurundiLakabuTaswira katika fasihiPapaMkoa wa DodomaFasihiMkoa wa ArushaMmeaMtume PetroKichochoPamboWayahudiKalenda ya KiislamuUgandaVielezi vya mahali🡆 More