Thiago Cionek

Thiago Rangel Cionek (alizaliwa Curitiba, Paraná, Brazil, 21 Aprili 1986) ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama beki wa kati wa klabu ya Italia S.P.A.L.

na timu ya taifa ya Poland.

Thiago Cionek
Thiago Cionek

Kazi ya klabu

Cionek alianza kazi yake na klabu ya Cuiabá Esporte Clube.

Alihamia Ulaya katika klabu ya GD Bragança iliyomo nchini Ureno kabla ya kurudi Brazili katika klabu ya Clube de Regatas Brasil.

Mwaka 2008, Cionek alirudi Ulaya, akicheza misimu minne na klabu ya Jagiellonia Białystok katika nchi ya Poland. Timu hiyo ilishinda Kombe la klabu za Poland la msimu wa 2009-10 na Poland SuperCup mwaka 2010.

Mnamo 11 Januari 2016, alijiunga na klabu yake ya tatu ya Italia iitwayo Città di Palermo ya Serie A.

Thiago Cionek  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thiago Cionek kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

198621 ApriliBekiBrazilCuritibaItaliaKlabuMchezajiParanáSokaTimu ya taifa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KonsonantiViwakilishi vya pekeeMobutu Sese SekoMtakatifu MarkoJichoWaluguruYanga PrincessVokaliBahashaKisukuruBenderaVivumishi vya pekeeTashihisiFigoBikiraMahakamaUpinde wa mvuaNomino za kawaidaAla ya muzikiDini asilia za KiafrikaUbaleheKumaMoses KulolaSarufiJose ChameleoneKanga (ndege)Kata za Mkoa wa Dar es SalaamVivumishi vya sifaMpira wa miguuWanyaturuMtumbwiMilaMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiVita Kuu ya Kwanza ya DuniaVihisishiMatiniOrodha ya majimbo ya MarekaniViwakilishi vya urejeshiDubai (mji)NathariBruneiVivumishi vya -a unganifuMaudhuiHistoria ya TanzaniaUkabailaMuda sanifu wa duniaVivumishi vya kuoneshaLiverpoolViwakilishi vya idadiHaitiWahaMajeshi ya Ulinzi ya KenyaFani (fasihi)MuundoOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaChumba cha Mtoano (2010)Muungano wa Tanganyika na ZanzibarKiongoziKamusiBongo FlavaMlongeAgano JipyaWanyakyusaTiktokJava (lugha ya programu)Ligi Kuu Tanzania BaraKanisaMziziUkristo nchini TanzaniaDamuTarafa🡆 More