Heroes The Kindness Of Strangers

The Kindness of Strangers ni sehemu ya nne ya msimu wa pili wa tamthilia ya ubunifu wa kisayansi inayorushwa hewani na TV ya NBC - Heroes.

Ilianza kurushwa hewani kwa mara ya kwanza mnamo tar. Oktoba 15, 2007. Kipengele hiki kinamtambulisha Monica Dawson kwa mara ya kwanza. Uhusika ambao ulichezwa na Dana Davis, ambaye alijiunga kama mshiriki mkuu.

"The Kindness of Strangers"
Sehemu ya Heroes
Heroes The Kindness Of Strangers
Maya and Alejandro find Sylar.
Sehemu ya. Msimu 2
Sehemu 4
Imetungwa na Tim Kring
Imeongozwa na Adam Kane
Tarehe halisi ya kurushwa 15 Oktoba 2007
Waigizaji wageni
  • Cristine Rose kama Angela Petrelli
  • Ashley Crow kama Sandra Bennet
  • Jimmy Jean-Louis kama M-Haitian
  • Nicholas D'Agosto kama West Rosen
  • Barry Shabaka Henley kama Det. Fuller
  • Shalim Ortiz kama Alejandro Herrera
  • Mark Christopher Lawrence as Mr. Lamont
  • Jeanette Brox kama Camille
  • Adair Tishler kama Molly Walker
  • Janel Parrish kama May
  • TW Leshner kama Derek
  • Nichelle Nichols kama Nana Dawson
  • Carlon Jeffery kama Damon Dawson
  • Randall Bentley kama Lyle Bennet
  • Justin Evans kama Simon Petrelli
  • Jackson Wurth kama Monty Petrelli
Wendo wa sehemu
← Iliyopita Ijayo →
"Kindred" "Fight or Flight"
Orodha ya sehemu za Heroes

Hadithi

Nathan Petrelli anatembelea watoto zake shuleni kwao. Anawaambia ya kwamba bibi yao (Angela Petrelli) amelazwa hospitali. Alipomtembelea mama'ke akiwa na Matt Parkman, amekiri ya kwamba yeye ndiye aliyehusika na kumsukuma Kaito Nakamura nje ya ghorofa. Matt, hata hivyo, anasoma mawazo yake na kumshauri Nathan ya kwamba alichokiri ni cha uwongo.

Anamwonesha Nathan picha ya Angela na Kaito iliyochorwa kwa mstari mwekundu na Nathan anampa Matt picha yenye orodha kamili ya watu waliohusika na kina Company. Picha ina-mwonesha Daniel Linderman, akiwa na wazazi wote wa Nathan (Angela na Arthur), Bosi wa Mohinder Suresh Bob, Charles Deveaux, Kaito Nakamura, na watu wawili wasiojulikana, wanawake watatu wasiojulikana na mwanaume mmoja ambaye Matt alimtambua kama baba'ke, Maury.

Marejeo

Viungo vya Nje

Tags:

HeroesMonica DawsonNBC

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa KilimanjaroKuhani mkuuOrodha ya milima ya TanzaniaWabena (Tanzania)Mkutano wa Berlin wa 1885BarabaraUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius NyerereBabeliUandishi wa inshaNomino za dhahaniaVivumishiVivumishi vya idadiVielezi vya mahaliEkaristiHoma ya dengiJumapili ya matawiMkoa wa RuvumaOrodha ya programu za simu za WikipediaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiJacob StephenOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaSikukuuMfumo wa mzunguko wa damuYouTubeVitendawiliIjumaa KuuJohn MagufuliBaraza la mawaziri TanzaniaMafarisayoUtenzi wa inkishafiKilimoGhanaChakulaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniHistoria ya Kanisa KatolikiMkoa wa TangaTeknolojia ya habariOrodha ya viongoziMotoUgonjwa wa kupoozaHistoria ya WasanguKiungo (michezo)Dar es SalaamJay MelodyMaishaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaTarafaKadi za mialikoYesuMkoa wa KageraNchiKukiSkeliSiku tatu kuu za PasakaNuru InyangeteMsukuleRihannaIsimuVihisishiArudhiHistoria ya uandishi wa QuraniMalawiKata za Mkoa wa Dar es SalaamBaruaUmoja wa MataifaSaidi NtibazonkizaFasihi simuliziWalawi (Biblia)Kanisa KatolikiNyanda za Juu za Kusini TanzaniaHarmonizeDumaMwanzoYuda IskariotiMalariaSilabiKifo cha YesuMacky Sall🡆 More