The Best Of Michael Jackson

The Best of Michael Jackson ni kompilesheni ya vibao vikali vya mwanamuziki Michael Jackson na ilitolewa mnamo mwaka wa 1975 na studio aliokuwa akifanyanayo kazi hapo zamani, Motown.

Imeuza nakala milioni 2.2 kwa hesabu ya dunia nzima na kushika nafasi ya arobaini-nne nchini Marekani hasa kwenye chati za R&B.

The Best of Michael Jackson
The Best of Michael Jackson Cover
Greatest hits ya Michael Jackson
Imetolewa 1975
Imerekodiwa 1971–1974
Aina Soul
Lebo Motown
Mtayarishaji Berry Gordy, Hal Davis, Mel Larson, Jerry Marcellino, The Corporation, Brian Holland, Sam Brown na Bob Gaudio
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Michael Jackson
Forever, Michael
(1975)
The Best of Michael Jackson
(1975)
Off the Wall
(1979)


Orodha ya Nyimbo

  1. "Got to Be There"
  2. "Ben"
  3. "With a Child's Heart"
  4. "Happy" (kutoka katika Lady Sings the Blues)
  5. "One Day in Your Life"
  6. "I Wanna Be Where You Are"
  7. "Rockin' Robin"
  8. "We're Almost There"
  9. "Morning Glow"
  10. "Music and Me"
The Best Of Michael Jackson  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Best of Michael Jackson kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

MarekaniMichael Jackson

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

C++ChumaKiwakilishi nafsiMobutu Sese SekoLiverpool F.C.Kassim MajaliwaUbongoWitoTendo la ndoaMswakiJoseph ButikuPichaViwakilishi vya sifaInstagramAfrikaHistoria ya ZanzibarAndalio la somoMkoa wa ManyaraBendera ya KenyaMsalabaTanganyika (maana)TelevisheniVidonda vya tumboLucky DubeImaniNyegeWilaya za TanzaniaUmaskiniMaana ya maishaDivaiSemiLafudhiYombo VitukaSkeliBintiMungu ibariki AfrikaAmaniJinaChuiKanisa KatolikiUtataKataOrodha ya Marais wa TanzaniaKisimaNomino za kawaidaMkonoFalsafaUfupishoKunguruMawasilianoUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020RejistaFasihi simuliziUandishi wa inshaUtegemezi wa dawa za kulevyaKylian MbappéKipindupinduMohammed Gulam DewjiNyanda za Juu za Kusini TanzaniaLigi Kuu Tanzania BaraDamuMtoto wa jichoPembe za ndovuMajeshi ya Ulinzi ya KenyaMbaazi (mmea)Historia ya KiswahiliMkwawaUlayaWanyakyusaMaskiniNguzo tano za UislamuKapteniSanaa za maoneshoJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaSeduce MeInsha🡆 More