Sulawesi (jina lake la kale Celebes) ni kisiwa cha Indonesia. Kiko kati ya kisiwa cha Borneo upande wa magharibi na visiwa vya Maluku upande wa mashariki. Eneo la kisiwa ni 174,600 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Makassar. Mwaka wa 2014 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 18,455,000.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Sulawesi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.