Sint Maarten

Sint Maarten (yaani Mtakatifu Martino) ni nchi ya visiwani katika bahari ya Karibi (Amerika ya Kati).

Iko kwenye sehemu ya kusini ya kisiwa cha Saint Martin kilichogawiwa baina ya Ufaransa na Uholanzi.

Sint Maarten
Ramani inayoonyesha pande mbili za kisiwa: ule wa Kifaransa Saint-Martin (kaskazini) na ule wa Kiholanzi Sint Maarten (kusini).

Sint Maarten ilikuwa koloni la Uholanzi; sasa ni "nchi ya kujitawala" ndani ya muundo wa "Ufalme wa Nchi za Chini" pamoja na Uholanzi yenyewe na nchi nyingine zilizokuwa makoloni ya Uholanzi.

Katika eneo la kilometa mraba 37 wanaishi watu 40,120.

Lugha ya wengi (asilimia 67) ni Kiingereza, ikifuatwa na Kihispania.

Upande wa dini, wengi ni Wakristo, hasa Waprotestanti (karibu asilimia 50) halafu Wakatoliki (asilimia 33).

Viungo vya nje

Sint Maarten 
Wiki Commons ina media kuhusu:
    Serikali
    Miundo mingine
    Vyuo vikuu
    Elimu ya sekondari
    Utalii
    Habari na rai
Sint Maarten  Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sint Maarten kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Amerika ya KatiBahari ya KaribiKisiwa cha Saint MartinKusiniNchi ya visiwaniUfaransaUholanzi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya KanisaHalmashauriMartin LutherOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaJinaHafidh AmeirOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaEl NinyoUKUTAAfrika KusiniWilaya ya UbungoUkimwiHistoria ya Zanzibar25 ApriliHadithiInstagramMnyoo-matumbo MkubwaMkoa wa TangaSteve MweusiJinsiaBarua rasmiUchumivvjndAlama ya barabaraniAnwaniKutoka (Biblia)Somo la UchumiJokofuVidonda vya tumboManchester CityWilaya ya TemekeKariakooTungoOrodha ya majimbo ya MarekaniChakulaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaNguruwe-kayaVidonge vya majiraWapareRohoHuduma ya kwanzaUgonjwaKonsonantiKitenzi kikuuMaudhui katika kazi ya kifasihiHedhiVichekeshoUshairiSheriaInshaKanda Bongo ManMagonjwa ya machoBongo FlavaAmri KumiUbongoMkoa wa MaraVielezi vya idadiApril JacksonMaudhuiNdoaVokaliMkoa wa RukwaIsimuKalenda ya KiislamuNdoa katika UislamuNandyJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMarekaniMwamba (jiolojia)🡆 More