Benki Kuu Ya Kenya

Benki Kuu ya Kenya iko katika mji wa Nairobi.

Gavana wa sasa wa benki ni Daktari Patrick Njoroge ambaye alianza kazi mwaka wa 2015. Dr. Njoroge ametekeleza mabadiliko katika Benki Kuu, pamoja na kuimarisha sekta ya uchumi nchini. Jina la benki kwa ufupi ni "CBK".

Benki Kuu Ya Kenya
Benki Kuu ya Kenya (1973)

Benki Kuu ya Kenya ilianzishwa mwaka 1966 baada ya kufutwa kwa East Africa Currency Board (EACB).

Angalia Pia

Viungo vya nje

Benki Kuu Ya Kenya  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki Kuu ya Kenya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

2015DaktariGavanaJinaKaziMjiMwakaNairobiUchumi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

April JacksonMoscowViwakilishi vya kumilikiVivumishi vya -a unganifuMofimuNetiboliAnwaniBikira MariaPumuKondomu ya kikeMbogaMkoa wa PwaniBenjamin MkapaMapenziTumbakuSamia Suluhu HassanPichaMkoa wa KageraHadhiraAbedi Amani KarumeKifaruOrodha ya Marais wa MarekaniUlumbiMbadili jinsiaAfrika KusiniMajeshi ya Ulinzi ya KenyaDodoma (mji)Wilaya ya KinondoniMbaraka MwinsheheUgandaBabeliUzalendoOrodha ya Marais wa KenyaMkoa wa SimiyuUpendoBendera ya ZanzibarMpira wa miguuNusuirabuKiswahiliViwakilishi vya idadiRitifaaMkutano wa Berlin wa 1885Wizara ya Mifugo na UvuviKimara (Ubungo)SikioHaki za binadamuSayariUkimwiKiambishiMr. BlueWilayaWikipediaVipera vya semiKukiMwanza (mji)BidiiMimba kuharibikaImaniWabunge wa Tanzania 2020SerikaliMadhara ya kuvuta sigaraIkwetaMusaMvua ya maweUkwapi na utaoMkoa wa ArushaSemiStashahadaMaghani🡆 More