Shule ya Nisibi ilikuwa kimojawapo kati ya vituo vya teolojia na ufafanuzi wa Biblia ya Kikristo wakati wa Mababu wa Kanisa ; vingine muhimu zaidi vilikuwa Shule ya Aleksandria na Shule ya Antiokia.
Majina ya hivyo vituo vyote yalitokana na miji vilipostawi katika Ukristo.
Ilianzishwa mwaka 350, halafu mwaka 363, mji huo ulipotekwa na Waajemi, Efrem wa Syria aliihamishia Edessa. Mwaka 489 ilirudishwa Nisibi.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shule ya Nisibi kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Shule ya Nisibi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.