Sergio Corbucci (6 Desemba mwaka 1927 - 1 Desemba mwaka 1990) alikuwa mwongozaji wa filamu wa kitaliano.
Filamu zake nyingi zilikuwa na watu mafedhuri, kisha bado ni filamu zenye maarifa ya juu. Sergio alifahamika zaidi katika filamu za western ya Italia, maarufu kama spaghetti westerns.
Sergio Corbucci | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Sergio Corbucci |
Alizaliwa | 6 Desemba Italia |
Kafariki | 1 Desemba 1990 |
Kazi yake | Mwongozaji wa Filamu. |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sergio Corbucci kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Sergio Corbucci, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.