Ras Minano: Mwanamuziki wa Ghana

Makala hii inahusu mada au mtu asiyejulikana sana.

Kuna mashaka kama mada inastahili kuwa na makala katika kamusi. Onyo hili linaweza kuwekwa pia kama makala haionyeshi umaarufu, hata kama upo.

Watumiaji wanaombwa kushiriki katika majadiliano kama makala hii inafaa kubaki au la. Tazama:Wiki: Umaarufu

Unaweza kuondoa kigezo hiki kama majadiliano yametokea na washiriki walipatana.

Ras Ekow Minano ni mwanamuziki wa nchini Ghana Rastafarian muimbaji, muigizaji, mwandishi wa nyimbo na kiongozi wa bendi ya Hope of Africa. Alizaliwa mjini Accra na kwa sasa anaishi katika mji wa Port Adelaide,huko kusini mwa Australia. Mnamo mwaka 2020, alizindua alhe album yake ya tatu ya muziki iitwayo, Real Rasta iliyofuatiwa na alibamu zake za awali ziliyofahamika kwa jina la Jah Spirit na Africa is Sick. Nyimbo yake ya Africa Oseeyeii ilishinda tuzo "Reggae/World Music Song of the Year" kwenye tuzo za W.A.M. Awards ya mwaka 2020. nyimbo hiyo pia ilimfanya Minano kufika kwenye nafasi ya nusu fainali kwenye shindano la kimataifa la Waandishi mahiri wa nyimbo mnamo mwaka 2020. kufikia mwezi Februari mwaka 2021, Minano alizindua nyimbo yake ifahamikayo kwa jina la Womba, ambapo maana ya jina hilo linatafsiri maana hii "We are coming" in English. Mpaka kufukia mwaka 2009 ameweza kuzindua alibamu moja pamoja na nyimbo tatu zenye muendelezo. Muziki wa Ras Minano na bendi ya the Hope of Africa inajumuisha ala za muziki wa afrobeat na reggae na kukuza amani, upendo, maelewano na umoja.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KanisaKisukuruLigi Kuu Tanzania BaraSteven KanumbaMajina ya Yesu katika Agano JipyaSaratani ya mlango wa kizaziOrodha ya milima ya AfrikaKomaSayansi ya jamiiWingu (mtandao)NyegeKiongoziDhima ya fasihi katika maishaMapambano ya uhuru TanganyikaAmina ChifupaMapinduzi ya ZanzibarNgano (hadithi)BibliaKifua kikuuZiwa ViktoriaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaBruneiNomino za wingiMkoa wa PwaniUDABongo FlavaVivumishi vya kuoneshaBahari ya HindiZuchuKataUchumiNamba za simu TanzaniaSemiMkoa wa SimiyuMahindiMaandishiSamia Suluhu HassanWilaya ya Nzega VijijiniMaishaVivumishi vya -a unganifuNgeliOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaIsimuBenderaEdward SokoineInjili ya MarkoWanyaturuTungo kiraiOrodha ya majimbo ya MarekaniKukiHuduma ya kwanzaNdiziLionel MessiWilaya ya KinondoniUwanja wa Taifa (Tanzania)Pijini na krioliMimba kuharibikaDubai (mji)Ala ya muzikiUpinde wa mvuaKiambishiSensaIniMusaHoma ya matumboBiblia ya KikristoBendera ya KenyaMapambano kati ya Israeli na PalestinaMichael JacksonKanda Bongo Man🡆 More