Prince Edward Island (kwa Kifaransa: Île-du-Prince-Édouard; kwa Kigaeli: Eilean a’ Phrionnsa; kwa Kiswahili: Kisiwa cha Prince Edward) ni kisiwa kidogo katika Ghuba ya St. Lawrence na jimbo la Kanada upande wa mashariki ya nchi.
Prince Edward Island | |||
| |||
Nchi | Kanada | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Charlottetown | ||
Eneo | |||
- Jumla | 53,683 km² | ||
Tovuti: http://www.gov.pe.ca/ |
Prince Edward Island ni moja kati ya majimbo 3 ya baharini (kwa Kiingereza: Maritime provinces) ya Kanada. Kiko upande wa kaskazini wa Nova Scotia na mashariki wa New Brunswick.
Mji mkuu na mji mkubwa ni Charlottetown.
Una eneo la km² 53,683.56. Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 140,402.
Lugha rasmi ni Kiingereza (de facto).
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Prince Edward Island kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Prince Edward Island, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.