Saskatchewan ni jimbo la Kanada. Limepakana na Northwest Territories, Nunavut, Manitoba, Montana, North Dakota na Alberta.
Saskatchewan | |||
| |||
Nchi | Kanada | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Regina | ||
Eneo | |||
- Jumla | 651,900 km² | ||
Tovuti: http://www.sk.ca/ |
Lina eneo la km² 651,900.
Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 1,023,810.
Mji mkuu ni Regina na mji mkubwa ni Saskatoon.
Saskatchewan ni hasa jimbo la kilimo cha ngano pamoja na mafuta ya petroli.
Lugha rasmi ni Kiingereza.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saskatchewan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Saskatchewan, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.