Noam Chomsky (*7 Desemba 1928) ni mtaalamu wa isimu (sayansi inayochunguza lugha) nchini Marekani.
Tangu 1955 amekuwa profesa kwenye chuo cha Massachusetts Institute of Technology (MIT).
Amekuwa maarufu kwa michango yake katika isimu na pia kwa kama mwanaharakati aliyepigania mara nyingi siasa zisizolingana na serikali ya Marekani.
Alibuni sarufi inayofaa kwa lugha zote.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Noam Chomsky, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.