Ndutu

Ndutu ni eneo lililo katikati kusini mwa Serengeti na eneo la Hifadhi ya Ngorongoro katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania.

Ndutu
Tembo akiwa karibu na eneo la Ndutu

Ndutu ni eneo zuri la kutembelea hasa kati ya mwezi Desemba na mwanzoni mwa mwezi Aprili ambapo makundi mengi ya wanyama wanaokula nyasi pamoja na pundamilia wanajazana katika eneo hili kwa ajili ya kuzaliana (kuzaa). Maficho ya wanyama hawa katika eneo hili imerekodiwa kuanza Januari hadi katikati ya mwezi Machi ambapo zaidi ya asilimia 80 ya wanyama wanaanza kuzaa wiki chache baadaye.

Licha ya kujificha, pia makundi makubwa ya wanyama hawa huenda katika eneo la Ndutu kwa ajili ya kujipatia chakula kutokana na uwingi wa nyasi zinazokuwa zimestawi kutokana na mvua.

Hata hivyo uwepo wa wanyama hao katika eneo hili una wavutia wanyama wakali kama simba, chui na fisi kwa ajili ya mawindo ili kujipatia chakula.


Viungo vya nje

Safiri Tanzania Utalii wa Tanzania

Ndutu  Makala hii kuhusu "Ndutu" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Ndutu  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ndutu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Tabianchi ya TanzaniaMkoa wa MaraMimba za utotoniMnyoo-matumbo MkubwaKiangaziMbwaDubai (mji)Mfumo katika sokaKihusishiAina za udongoKwaresimaHaki za watotoNamibiaAthari za muda mrefu za pombeInstagramKito (madini)Mgawanyo wa AfrikaBustani ya wanyamaMauaji ya kimbari ya RwandaOsama bin LadenSensaMachweoViwakilishi vya -a unganifuUongoziAndalio la somoNyweleUshairiAfyaKinuEdward SokoineMapinduzi ya ZanzibarMjasiriamaliMoyoTeknolojiaUsawa wa kijinsiaOrodha ya nchi za AfrikaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKipandausoPasakaYouTubeAfrika ya MasharikiBiasharaSayari ya TisaKidoleBiblia ya KikristoLisheMabantuKongoshoHisiaFasihi simuliziWikiDaftariHeshimaDar es SalaamJinaMenoKipajiSerikaliKiambishi tamatiMarekaniJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuMuundoBinamuMkoa wa MorogoroVidonda vya tumboNguzo tano za UislamuMkoa wa DodomaHerufi za KiarabuSoko la watumwaTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaMichael JacksonHarakati za haki za wanyamaUkristo🡆 More